IBRAHIMU: KUMFUATA BWANA KATIKA IMANI Swahili Service

MWITO WA MAISHA YA IMANI

Ni watu wachachetu  tu nje ya Yesu Kristo wamechangia katika historia ya ulimwengu kama Ibrahimu.Ibrahimu anaheshimika na zaidi ya nusu ya watu wa dunia. Wayaudi,Waislamu na Wakristo wanamheshimu Ibrahimu kiasi cha kumwabudu. Hivyo dini za Uyaudi,Uislamu na Ukristo zinaitwa dini za Ibrahimu. Ibrahimu ni mfano mwema wa wale wanaoishi kwa imani (Waebrania 11:8-19, Yakobo 2:23) …

Continue Reading