Swahili Service WANAWAKE SABA WENYE IMANI YA BIBLIA

RUTHU– IMANI YA KUOKOKA

RUTHU 1:1-22 UTANGULIZI Imani aina saba zinapatikana katika maisha ya Imani ya wanawake saba katika Biblia. Ruthu– Imani inayo okoa, Esta-Kuishi  kwa Imani,   Mariamu-Magdalene-Kufuata kwa Imani,    Mariamu dadake lazaro– Imani inayo abudu, Hanna– Imani inayo omba, Prisila– Imani ya kutumika, Sara– Imani ya kuwa na Jamii. Ruthu alikuwa mwanamke wa Imani . Uamuzi wa Imani …

Continue Reading
Swahili Service

MSAADA WAKO UNATOKA WAPI?

                                                                                                           SOMO:  ISAYA 31:1-7,                               ZABURI 121:1-8 UTANGULIZI Kama watoto wa Mungu tunaitaji kumtegemea Mungu pekee. Lakini si kutafuta msaada kutoka miungu na sanamu hau kwenda katika njia ya Dunia hii. Msaada unaweza kupatikana Misri, Misri ni mahali mbali na mapenzi ya Mungu. Misri ni mfano …

Continue Reading