English Service FINDING SATISFACTION IN LIFE Series

THE PROBLEM OF EXPECTATIONS

ECCLESIASTES 9:11-10:15 INTRODUCTION Many struggles in life are caused by expectations. Everyone has expectation out of life, people and God. When our expectations are not met, we become bitter and disillusioned. Disillusion always follows false beliefs. Expectations are either rooted in reality or fantasy. Unrealistic expectations are like a bubble when the bubble bursts it …

Continue Reading
Swahili Service

MSAADA KUTOKA JUU

SOMO:  ZABURI 121:1-8 UTANGULIZI Dunia hii ni mahali pa vita kali. Bila msaada kutoka juu tutashindwa kabisa, tuta shushwa na kupata aibu, pasipo msaada kutoka juu watu watakusahau na kukuacha. Tazama maisha ya Yusufu (Mwanzo 40:9-14). Yusufu alitarajia msaada kutoka kwa mwanadamu, lakini huyu mtu alimsahau Yusufu. Yusufu alikuwa amemwomba mambo mawili; Nikumbuke , ndugu …

Continue Reading
Swahili Service WANAWAKE SABA WENYE IMANI YA BIBLIA

MARIAMU MAGDALENE – IMANI INAYOMFUATA KRISTO

SOMO:  LUKA 8:1-3, YOHANA 20:11-18 UTANGULIZI Mariamu Magdalene ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye shetani alikuwa amemuharibu kabisa. Lakini baada ya kuponywa na Yesu Kristo, Mariamu Magdalene alitumiwa na  Mungu Zaidi. Mariamu Magdalene alikuwa mtu wa mwisho msalabani (Marko 15:47) Mariamu Magdalene ndiye mtu wa kwanza   kaburini mwa Yesu Kristo.(Yohana 20:1). Marimau Magdalene ndiye wa …

Continue Reading