Swahili Service

ADUI ANAPOKUSHAMBULIA

ISAYA 59:19

UTANGULIZI

Watu wengi hawaelewi na kifungu hiki cha bibilia .Maanake kinasema adui anaposhambulia mtoto wa Mungu, Roho wa Mungu anainuka kama mafuriko ya mto mkuu dhidi ya adui  yule hivyo Bwana anapadisha  standandi yake juu ya Adui.(It is the spirit of God rising the standard like a flood ,the spirit of the lord shall rise up a standard against the enemy “)

Hebu tuone.

 1. KWANINI MTU ASHAMBULIWE?
 • Mtu anashambuliwa kwa sababu adui anataka kumshinda .
 • Mtu anashambuliwa maana adui anataka kumnyanyasa.
 • Mtu anashambuliwa kwa maana adui anataka kuharibu hatima yake .
 • Mtu anashambuliwa kwa sababu kuishi kwake ni tisho kwa mtu mwingine hau kwa adui mwenyewe .
 • Mtu anashambuliwa sababu hatima yake niya tai.
 • Mtu anashambuliwa sababu anataka kukimbia kutoka kwa mikono yake adui na anataka utumwa.
 • Mtu anashambuliwa kwa maana watu fulani ,mamlaka au mapasonalities hawataki kumwona duniani.
 • Jinsi hatima yako inapong’ara ndivyo vita vitaogezeka kwako.
 • Mji wa Yerusaleme umeshambuliwa zaidi ya mara 400 kwa sababu ya unabii juu yake na hatima yake katika ulimwengu wa Roho.
 • Jinsi mtoto mdogo alivyo , mtoto wa ahadi ndivyo ufamizi na mashambulio yako mengi(Musa,Kristo, Yusufu)
 • Tunaposhambuliwa ,lazima kusikiza sauti ya Bwana.
 • Lazima kufuata neno la Mungu na kanuni za Biblia(kutoka 14).

II.MAOMBI YA KUOMBA WAKATI WA SHAMBULIZI

 1. Sifa –Paulo na sila(matendo 16:25-26)
 2. Funga kila Roho ya hofu(zaburi 46:10)
 3. Omba Mungu hatua za vita.
 4. Omba nguvu za Bwana kuonekana.
 5. Omba maombi ya vita(Isaya 59:19-20)

III.MASHARTI YA VITA VYA KIROHO

 1. Uwe na hakika umeokoka .
 2. Uwe na hakika umetubu kila dhambi .
 3. Uwe na hakika umejazwa Roho mtakatifu.
 4. Jua haki zako kama mtoto wa Mungu.
 5. Simama wima dani ya Kristo (Waefeso 6)
 6. Miliki miliki yako na ukombozi(obadiah 1:17-21)

IV.BASI TUFANYEJE KATIKA VITA?

 1. fahamu kwamba kila dhambi ndani yako ni kikwazo vitani.
 2. Fahamu nguvu za Mungu ni juu Zaidi ya nguvu za giza zote.
 3. pigana vita dhidi ya adui.

V.  UNAPOSHAMBULIANA –USIFANYE MAMBO HAYA SABA.

 1. Usimulaumu Mungu.
 2. Usivunjika moyo –usilie.
 3. Usikate tamaa.
 4. Usipoteze furaha yako.
 5. Usifadhaike moyo
 6. usi hofu-(zaburi 37:5).
 7. usitupe mbao(I wakorintho 10:13)

MWISHO(MAOMBI)

 • Kila madhabahu ya msingi , juu ya hatima yangu ,kufa sasa– katika Jina la Yesu.
 • Nyota ya hatima yangu ,toka katika mikono ya wachawi kwa moto-katika Jina la Yesu.
 • Kila mbinu za shetani juu ya ya baraka zangu kupitia kwa marafiki wasio rafiki,kufa sasa katika Jina la Yesu Kristo.
 • Nguvu za kupanda ,chukua hatima yangu-katika Jina la Yesu.
 • Pepo ya umaskini katika jamii yangu,maisha ngumu na shida ,toweke kwangu ,katika jina la Yesu Kristo.

 

The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *