Swahili Service

INUKA, UANGAZE

ISAYA 6:1-5 UTANGULIZI Jumapili iliyopita tulinena juu ya Kibali-ngao ya wenye haki (Zaburi 5:12). Leo hii  Bwana anasema inuka, ondoka, uangaze kwa maana nuru yako imekuja na utukufu wa Bwana umekuzukia. Ni mapenzi ya Mungu wana wake wote kuondoka na kuinuka kufikia hatua ya juu zaidi katika eneo zote za maisha na kuonyesha sababu na …

Continue Reading
Swahili Service

SAUTI YA VITA

I SAMWELI 11:1-15 UTANGULIZI               Usipokimbia adui ataogopa sana kwamba wewe yuko tayari kwa vita, hivyo adui ndiye atakaye kukimbia. Ujumbe huu ni wa kutufundisha jinsi ya kupambana na nguvu zinazojivuna juu ya maisha yako (Dealing with boasting and proud powers of darkness). Ufalme wa mbinguni unaenda mbele kwa vita (Mathayo 11:12), Lazima kukabili adui …

Continue Reading
Swahili Service

ASUBUHI YANGU NJOO

SOMO:  ZABURI 30:5 UTANGULIZI Mungu wetu Jehova hajali ata iwe ni kuua , kuondoa, kufuta, kufangia hau kufanya chochote kile hili kutosheleza watoto wake. “Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo, katika radhi yake mna uhai,. Huenda kilio huja kukaa usiku, lakini asubuhi huwa furaha “ (Zaburi 30:5) ‘For his anger endureth but a moment …

Continue Reading
Swahili Service

AHITHOFELI ALIPANGA, LAKINI MUNGU ALIPANGA VIGINE

SOMO:  II SAMWELI 16:20-17:21 UTANGULIZI Mungu aliingilia kati mpango mbaya wa Ahithofeli na Absalomu kumshusha na kumwaribu mfalme Daudi. Mpango wao haukufaulu kamwe.   Kuna watu wanaokaa kama jinsi bomu. Hawa watu sura yao kawaida wanaongea na kutembea kawaida. Wanaudhuria kanisa an kusifu Mungu kawaida, lakini dani yao kuna shida kubwa. Hawataki kamwe kuongea maisha yao …

Continue Reading
Swahili Service UKOMBOZI

BADILIKA– UKAINUKE

JEREMIAH 48:11 UTANGULIZI Watu wengi wanahitaji ujumbe huu zaidi. Hapa twaona kwamba Moabu alikuwa na shida nyingi. Kwanza Moabu alipenda maisha ya starehe, Pili Moabu alitulia juu ya sira zake, Tatu Moabu hakumiminwa kutoka chombo kimoja kutiwa chombo kingine. Moabu hakwenda kufungwa (captivity) kwa hivyo ladha yake anakaa nayo, harufu yake haikubadilika. Moabu alikataa kubadilika …

Continue Reading