Swahili Service UKOMBOZI

NGUVU ZA KUFUNGA, KUFUNGUA NA KUTEKA

                                      

SOMO:  MATHAYO 12:29; 16:18-19

                 LUKA 11:21-22                

UTANGULIZI

            Jina la Bwana ni ngome imara, mwenye haki hukimbilia akawa salama. Kwa sababu tumekimbilia ngome hilo na nguvu zake, hivyo anaye tufuatia anapoteza nguvu zake. EE, Bwana vunja kila nguvu za kuzimu zinazotudharau. Neno lasema katika (Wakolosai 2:15) “Akiisha kuzivua Enzi na mamlaka na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika  msalaba huo”. Katika somo hili, maneno matatu ni dhairi “Kufunga, kufungua na kuteka”

Hebu tujifunze juu ya Ukombozi:-

I.   KUFUNGA

 • Ni kuvua na kuharibu– Hivyo tunaweza kukamata mwendo wa kitu.
 • Ni kuvua nguvu za kitu (paralyse) hivyo tunaweka kufanya kitu Fulani kufangazi.
 • Ni kukinyonga kitu (Strungle), kuteka mateka,
 • Ni kukamata kama jinsi katika nyavu (To entangle)
 • Ni kama jinsi ya kufunga mbuzi miguu na mikono.
 • Ni kufunga nira kali hili kudhibiti mwendo (yoke)

II.  BASI VITU GANI KUFUNGA.

 • Tunafunga kazi za ngiza. Tunaweza kufunga kazi zote za shetani na malaika zake.
 • Tunaweza kufunga mwendo na maendeleo ya shetani.
 • Hivyo tunaweza kufunga nguvu za adui, mafikira yake, binu zake, mipango, mamlaka, maombi, mapenzi, akili upizani na ndoto zake zote.

III. NI NANI ANAYE NGEUZA NDOTO ZETU?

 • Shetani anakufanya kuona adui zako kuwa rafiki zako na rafiki zako kuwa adui zako.
 • Hivyo unaweza kupigana na rafiki zako na kufanya urafiki na adui zako.
 • Anageuza ndoto nzuri kuleta mabaya na ndoto mbaya kuleta mazuri.
 • Tunaweza kufunga wazazi waovu katika ulimwengu wa kiroho.
 • Kuna watu walio na baba na mama za kiroho, hivyo watoto hao hawawezi kuwatii wazazi wao.
 • Baba, mama, mume na mke za kiroho ziko kazini.
 • Wapelelezi wa kiroho wanaotoa repoti zako kwa shetani (Monitoring Spirits)
 • Tunaweza kufunga wanaokula na kunywa damu, wanao panua shida kuwa kubwa Zaidi. Watangazaji wa shetani (gossipers) (Zaburi 149:6)

IV.  MAANA YAKE KUFUNGUA.

 • Kuweka huru mtu kutoka kwa uongozi duni.
 • Kuweka huru mateka
 • Kulengeza Kamba na nyororo.
 • Kuweka huru na kuwa tayari kwa kazi.
 • Kufungulia kutoka jela, na kufungua kutoka kwa ugonjwa na pepo wambaya.

V.  MAANA YAKE KUTEKA.

 • Kunyanganya adui silaha zake.
 • Kuchukua kwa nguvu.
 • Kuchukua kitu cha mwengine kwa nguvu na fujo.
 • Kushinda adui na kubeba mali yake yote.
 • Kuvua na kuacha uchi.

VI.  BASI, KWA NINI KUFUNGA, KUFUNGUA NA KUTEKA ?

 • Hili kumshinda shetani– Ni vita hau kifo.
 • Wakristo wengi ni mateka wa shetani hivyo kufunga, kufungua na kuteka hakueleweki.
 • Wengine hawana nguvu na haki ya kufanya vita, wengine bado kuokoka, hivyo hawana nguvu za kuomba maombi ya vita.

 

MWISHO

Omba:

 1. Bwana nisaidie kuvua ujinga wa kiroho katika jina la Yesu Kristo.
 2. Bwana, nisaidie kuomba maombi ya kumbandilisha hatima yangu katika Jina la Yesu.
 3. Kwa nguvu za Bwana nina funga nguvu za shetani katika maisha yako katika Jina La Yesu Kristo.
 4. Kila mwenye nguvu juu ya maisha yangu na kila roho ya kupeleleza maisha na maendeleo yangu shindwa katika Jina La Yesu Kristo.

 

The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *