Swahili Service

UJUMBE: UKOMBOZI KUTOKA KWA FIMBO YA UDHALIMU

SOMO: ZABURI 125:1-5
ISAYA 14:1-5

Mungu Baba anasema Fimbo ya udhalimu
imekaajuu ya wenye haki kwa kitambo sasa. Lakini
leo Mungu ataivunja hio fimbo ya uovu. Sababu, fim-
bo ya udhalimu ikikaa juu ya wenye haki, wenye haki
watainyosha mikono yao kwenye upotovu !!. Hivi
ndivyo wakristo wengi wanapo jaribiwa wanafanya
mambo ya aibu. Unapoona watu wa heshima wanafan-
ya mambo ya aibu, basi elewa fimbo ya udhalimu
himo juu yao. Wanapo fanya aibu, basi haki yao
inangeuka na kuwa upotovu. Maombi yangu ni
kwamba fimbo ya udhalimu (The rod of wicked)
itavunjwa katika Jina la Yesu juu ya maisha yako.
Fimbo ya udhalimu pia inaitwa “gongo la wa-
baya” (Isaya 14:1-5) Fimbo ya udhalimu huja kwa
vipimo (Size) na rangi nyingi, wakati waovu wanataka
kuvunja mazuri ndani ya maisha ya wataule, Fimbo ya
udhalimu na gongo la wabaya ndio ishara ya mamlaka
ya waovu.Kwa wengine fimbo ya udhalimu inaanza
mapema katika maisha.
Hebu tujifunze:-
I. FIMBO NA GONGO YA WABAYA INAFANYA KAZI WAPI ?
1. Fimbo hii inafanya kazi katika maisha yote
 Hivyo hatima ya mtu inakuwa chini ya
udhalimu na mabaya.
 Waovu wanapo weka fimbo yao juu
UJUMBE: UKOMBOZI KUTOKA KWA
FIMBO YA UDHALIMU
SOMO: ZABURI 125:1-5
ISAYA 14:1-5
MHUBIRI: REV. DR. WILLY MUTISO
UTANGULIZI:
1. Jua kwamba Mungu pekee ndiye
Mkombozi
2. Kama ujaokoka-mlilie Bwana akuokoe.
3. Tafuta sana kutembea na Mungu wako.
4. Kata kiburi ndani ya maisha yako.
5. Mwite Bwana kwa ukombozi kutokana
na fimbo ya udhalimu na gongo la uba-
ya.
MWISHO
Omba:
1. Kila fimbo ya udhalimu na gongo la
ubaya katika jamii yangu, pokea moto
wa Mungu, chomeka mpaka jivu Kati-
ka Jina la Yesu Kristo.
2. Wewe nguvu za fimbo dhidi ya maisha
yangu pooza sasa katika Jina la Yesu
kristo.
3. Damu ya Yesu Kristo nikomboe katika
Jina La Yesu Kristo
4. Fimbo ya udhalimu achilia ndoa yangu,
afya yangu, kizazi changu, utukufu
wangu na Baraka zangu, katika Jina La
Yesu Kristo.
ya hatima ya mtu maisha yake yanakuwa
magumu.
 Maisha yake yanakuwa magumu hata kwa
mambo ya kawaida.
2. Fimbo ya udhalimu inatesa ndoa.
3. Fimbo ya udhalimu inaua maono ya mtu (Vision
and plans)
4. Fimbo ya udhalimu inaingilia biashara na kazi ya
wenye haki.
5. Fimbo ya udhalimu inashambulia afya ya kizazi,
mikono, miguu na mioyo ya wenye haki.
6. Fimbo ya udhalimu inachangia upunguvu wa
Baraka, huku fimbo hii inaongoza mtu katika njia
kinyume (frustration) maisha yake yanakuwa ngu-
mu. Kitu kinacho chukua siku kinafanyika baada
ya miaka. Baadaye mauti.
II. JE FIMBO YA UDHALIMU INAWEKWA
LINI?
 Wakati nyota yako imeng’ara.
 Wakati mambo yako yanaendelea vyema.
 Wakati tumaini lako liko juu Zaidi na sha-
baha zako zimefikiwa.
 Wakati umepenya katika maisha.
 Wakati unasema sasa ninaweza kustarehe
kwa kazi yangu.
 Wakati unasema sasa hamna shida nimeiti-
mu Zaidi, wakati madaraka yameingia.
III.BASI TUFANYE JE ?
 Wakati fimbo inafanya kazi, mtu anakasirika bure,
wakati tunaanza kutumia hekima ya dunia (Isaya
60:18-19)

The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *